Thursday, January 4, 2018

RAIS JAKAYA KIKWEKE NA KILIMO CHA MAHINDI

Viongozi wengi wastaafu wa Tanzania wamekuwa wakijihusisha na kilimo na kuwa mfano mzuri.
Agriculture sector is the backbone of Tanzania ecomony and there many opportunites including employments and self-employment for the youth. The weather challenges are not  bad in Tanzania as in most of countries.






BAMIA AU OKRA

Bamia ni moja ya zao ambalo pia unaweza lima kwa umwagiliaji hasa kwa wale waliopo karibu na mto na kuweza kuvuta maji au kuchimba kisima.
Picha ni shamba la mkulima Jorom Mutente kule Morogoro maeneo ya Mkundi.

Bamia zimekuwa zikihitajika kwa wingi duniani na faida zake ni pamoja na kusaidia kujikinga na ugonjwa wa Kansa.




KILIMO CHA UMWAGILIAJIA MKUNDI MOROGORO - MBOGA MBOGA

Pipes za Maji kusaidia umwagiliaji zikiwa zimetandazwa shambani
Nyanya zikiwa zimeathirika na Ukungu
Bamia pia zinakubali kwenye umwagiliaji