Thursday, January 4, 2018

BAMIA AU OKRA

Bamia ni moja ya zao ambalo pia unaweza lima kwa umwagiliaji hasa kwa wale waliopo karibu na mto na kuweza kuvuta maji au kuchimba kisima.
Picha ni shamba la mkulima Jorom Mutente kule Morogoro maeneo ya Mkundi.

Bamia zimekuwa zikihitajika kwa wingi duniani na faida zake ni pamoja na kusaidia kujikinga na ugonjwa wa Kansa.




No comments:

Post a Comment

Tunakaribisha maoni yako ila zingatia maadili ya lugha na ustarabu!